MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amefanikiwa kumaliza mgogoro wa wadau wa madini ya makaa ya mawe ulioikumba Kampuni ya Market Insight LTD Coal ,mgogoro ambao ulisababisha Kampuni hiyo kusitisha shughuli za uchimbaji madini ya makaa ya mawe katika Kata ya Ruanda wilayani Mbinga tangu Desemba 2019.SOMA habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=Q6eNagnu3R4
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.