Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed amefanya ziara ya kikazi ya siku moja wilayani Tunduru ambapo amefanya mkutano wa hadhara na wananchi katika uwanja wa Baraza la Eid na kusikiliza kero 28 za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi,
Kabla ya kufanya mkutano na wananchi Mkuu wa Mkoa pia alifanya mkutano wa ndani na viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa,dini watalaam,waheshimiwa madiwani ,mkutano huo pamoja na mambo mengine pia ulilenga kusikiliza kero mbalimbali za wananchi wa Tunduru kupitia viongozi hao
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.