Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma amewaagiza viongozi wa vyama vikuu vya ushirika mkoani Ruvuma kuwasimamia makarani wa vyama vyao na kuhakikisha uaminifu unarejeshwa ili kutowadhulumu wakulima wanapokwenda kuuza mazao yao kwenye vyama vya ushirika.TAZAMA ZAIDI HAPA https://www.youtube.com/watch?v=zCnfRegL19A
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.