Pichani mwenye kofia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mheshimiwa Aziza Mangosongo wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa awali katika shule ya msingi Kipapa Wilaya ya Mbinga.Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma amezindua madarasa mawili ya awali katika shule hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 59 ya Muungano.
Ujenzi wa madarasa mawili,matundu sita ya vyoo na tanki moja la maji yamegharimu jumla ya shilingi milioni 55
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.