Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma amewaongoza wananchi wa Songea katika maadhimisho ya miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa kuzindua vyumba viwili vya madarasa ya awali vilivyogharimu shilingi milioni 43 katika shule ya Msingi Mbulani Manispaa ya Songea
Mkuu wa Mkoa pia akiwa katika shule hiyo amewaongoza wanafunzi na walimu kupanda miti ambapo zaidi ya miti 500 imepandwa kwenye maadhimisho ya Muungano wa Tanzania
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.