MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge na Mbunge wa Jimbo la Namtumbo Mheshimiwa Vita Kawawa wameahidi kuchangia ujenzi wa bweni la wasichana katika shule ya sekondari Lukwima Kata ya Ligera Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo.Bweni hilo linatarajia kugharimu shilingi milioni 50.Tazama habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=mI-8rrrQBb4
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.