Mkuu wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Pololet Mgema amesema sensa ya watu na makazi ya mwaka huu ni ya kihistoria kwa sababu ya mfumo wa kidijitali ambao unatumika hali ambayo itasababisha serikali kupata taarifa sahihi zaidi ukilinganisha na sensa tano ambazo zimefanyika tangu nchi kupata uhuru.Alikuwa anazungumza mara baada ya kuhesabiwa nyumbani kwake eneo la Mpambalyoto mjini Songea.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.