Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Tunduru (Kulia) Ndg. Chiza Marando akikabidhiwa Vifaa vya Michezo na Mratibu wa Mradi wa Kijana Jiongeze Bi. Edina Mgunda
Mradi wa Kijana Jiongeze umepanga kufanya mashindano ya michezo na taaluma katika shule za Sekondari 23 ambazo mradi huu unatelekezwa.
Mratibu wa Mradi huo Edina Mgunda amesema Vifaa hivyo vya Michezo vitaongeza chachu ya wanafunzi kupenda shule, lakini pia kupenda Elimu, sisi kama wadau wa Elimu tunaamini kuwa michezo inaweza kuongeza kujifunza na kumvutia mwanafunzi kubaki shuleni” Alisema.
Vifaa vya michezo vilivyokabidhiwa ni Seti 14 za Jezi na mipira 46, ambapo, Seti saba za jezi ni kwa ajili ya timu saba za mpira wa miguu na saba kwa mpira wa pete, mipira 23 ni kwa ajili ya mpira wa miguu na 23 mpira wa pete.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.