MRADI wa Kizazi hodari unatarajia kuanza kutekelezwa mkoani Ruvuma kuanzia Julai Mosi mwaka huu.Mradi huu umelenga kusutawisha afya na elimu pamoja na ulinzi wa usalama kwa watoto.Mradi huu unafanyika katika Halmashauri sita za Mkoa wa Ruvuma na kwamba mradi huu utatekelezwa katika mikoa minne ambayo ni Ruvuma,Mtwara,Njombe na Lindi
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.