Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira imekagua mradi wa maji wa Malungu Kata ya Tingi wilayani Nyasa mkoani Ruvuma ambao umegharimu shilingi bilioni 1.2 ambao umefikia zaidi ya asilimia 90 na unatarajia kukamilika Juni 2024.Mradi huu unatarajia kuhudumia wakazi zaidi ya 9,000
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.