Serikali kupitia RUWASA imetoa shilingi bilioni 2.5 kujenga mradi wa maji kwa ajili ya kuhudumia wananchi zaidi ya 11,000 wanaoishi katika kata za Ngumbo na Liwundi wilayani Nyasa mkoani Ruvuma.Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira imekagua na kuridhishwa na utekelezaji wa mradi huo
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.