Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa nyumba saba za wakuu wa Idara katika Halmashauri ya Mji Mbinga Mkoani Ruvuma.Mradi huo ulipangiwa shilingi milioni 300.Waziri Mkuu ameridhishwa na ujenzi huo ambao unakwenda kumaliza changamoto ya nyumba za watumishi.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.