Chanzo cha Mto Ruvuma kimeanzia milima ya Matogoro iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Songea,Mto huo umepita katika wilaya zote tano za Mkoa wa Ruvuma na kuendelea hadi mkoani Mtwara ambao unamwaga maji yake Bahari ya Hindi.Mto Ruvuma unakadiriwa kuwa na urefu wa zaidi ya kilometa 800
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.