Hiki ni kituo cha Afya Kata ya Kihagara wilayani Nyasa mkoani Ruvuma ambacho kimekuwa mkombozi mkubwa kwa wanancni wa mwambao mwa ziwa Nyasa na baadhi ya wananchi kutoka wilayani Kyela mkoani Mbeya wanafika kutibiwa katika kituo hicho cha Afya.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.