Baadhi ya madarasa katika mradi wa shule mpya ya Msingi Ligoma Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma ambapo serikali imetoa shilingi milioni 513 kutekeleza mradi huo ambao upo katika hatua za umaliziaji.
Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Mwenyekiti wake Komred Odo Mwisho imekagua mradi huo na kuridhishwa na utekelezaji wake
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.