Muonekano kutoka juu wa shamba la Miti Wino lililopo katika Halmashauri ya Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma
Hifadhi ya msitu wa Wino iliyopo katika Halmashauri ya Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma ni miongoni mwa mashamba 24 ya miti ya kupandwa yanayosimamiwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania
Hifadhi hii kwa sasa ina ukubwa wa hekta 39,718 zinazoundwa na safu tatu (Wino 2,259ha, Ifinga 29,000ha na Mkongotema 8,459ha).
Mhifadhi Mkuu wa Shamba miti Wino Glory Kasmiri anasema uhifadhi ya msitu wa Wino ulianza kuendelezwa na TFS mwaka 2010 ikihusisha eneo dogo la msitu wa asili wenye ukubwa wa hekta 2,259 (ambayo ndio safu ya Wino).
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.