Mwakiishi wa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma mheshimiwa Kapenjama Ndile akishangaa mwamba mwa madini ya dhahabu kwenye maonesho ya nanenane katika banda la madini ndani ya viwanja vya maonesho ya nanenane ya John Mwakangale jijini Mbeya,katika banda hilo kuna maonesho ya madini mbalimbali yanayochimbwa hapa nchini
Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mheshimiwa Kapenjama Ndile akikagua shamba la mfano la alizeti ndani ya viwanja vya nanenane jijini Mbeya
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.