• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

MWAMKO wa wananchi kuchanja chanjo ya UVIKO 19 waongezeka

Imewekwa kuanzia tarehe: October 2nd, 2021

Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma wameendelea kuhamasika kuchanja chanjo ya UVIKO-19 baada ya kuelimishwa na kushuhudia madhara mbalimbali yatokanayo na ugonjwa wa UVIKO -19.

“Tumepata hamasa ya kuchanja kupitia elimu mbalimbali zinazotolewa na Wataalam wa Afya ,Viongozi wetu kupitia vyombo vya habari “,Wanasema baadhi ya  wananchi wa Kijijiji cha Liweta.

Laurensia Komba na Emilani Mwingira ni baadhi ya wakazi wa kijiji cha Liweta kilichopo Kata ya Mpandangindo Halmashauri ya Wilaya ya  Songea wakizungumza kwa nyakati tofauti wamesema kwa sasa wananchi wamehamasika kuchanja kutoka na Elimu inayotolewa na Wataalam wa Afya,Viongozi mbalimbali wa Dini,Chama na Serikali na shuhuda za vifo vinavyokana na ugonjwa huo.

Wametoa wito kwa Serikali kuendelea kuwaletea chanjo ya UVIKO -19 kwasababu watu wengi bado hawajapata huduma  ya chanjo na wamehamasika kuchanja kwa hiari  baada ya kupata elimu na kutambua madhara ya ugonjwa ya kiwemo baadhi yao kuwapoteza wapendwa wao kwa vifo na baadhi ya familia kuyumba kiuchumi na kusambaratika.

Kwaupande wake moja ya Wataalam wa Afya Adam Ngunga waliofika kijijini hapo kwalengo la kutoa Elimu na zoezi la kuchanja amesema Serikali kupitia  mpango wahuduma   Shirikishi  na Harakishi ndani ya siku 14 uligawa dozi 2000 kwa Halmashauri hiyo kwa nia ya kuwachanja wananchi wake.

Ngunga amesema dozi hizo zimekuwa chache ukilinganisha na mahitaji halisi ya wananchi katika maeneo mbambali ya  ndani ya Halmashauri hiyo na kusababisha  baadhi ya wananchi kukosa chanjo,hivyo wawe sna subira wakati juhudi nyingine zikifanyika za kuwapelekea huduma hiyo

Naye Mganga Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Jairy Khanga amesema huduma ya Chanjo ya UVIKO-19 itamfikia kila mwananchi mwenye kuhiari kuchanja popotea alipo kwalengo la kupambana na ugonjwa huo huku akitoa msisitizo wananchi kuendelea kuchukua tahadhari ya kujikinga.

Kwa Mkoa wa Ruvuma Halmasahauri ya Wilaya ya Songea imeongoza kwa zoezi la uchanji kupitia mpango maalum wa Serikali wa huduma ya Shirikishi na Harakishi kwa kuchanja zaidi ya asilimia 100 baada ya wananchi kuwa na mwamko mkubwa wa kuchanja na chanjo kutokidhi mahitaji ,hivyokulazimika kuomba chanjo kutoka kwa Mganga Mkuu wa Mkoa.

Halmashauri ya Wilaya ya Songea inajumla ya vituo 37 vya kutolea huduma  za Afya kati ya hivyo vituo vitano havitoi huduma za chanjo kutokana na ukosefu wa miundo mbinu ya kuhifadhia vifaa hivyo  ambavyo ni Matimira,Magagura,Lipaya,Mbingamhalule na Lugagara.

Imeandikwa na kuandaliwa na

Jacquelen clavery

Afisa Habari

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.