Pichani juu kulia ni Katibu Tawala Mkoa wa Lindi Zuewa Omari Jiri akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Ndaki katika kijiji cha Sautimoja Wilaya ya Tunduru.
Mwenge wa Uhuru unaanza kukimbizwa mkoani Ruvuma leo Aorili 17,2023 hadi Aprili 25,utakapokabidhiwa mkoani Njombe.
Ukiwa mkoani Ruvuma Mwenge wa Uhuru utatembelea miradi 61 yenye thamani ya zaidi ya bilioni 16
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.