Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed katika kijiji cha Sautimoja wilayani Tunduru.
Mwenge wa Uhuru ukiwa mkoani Ruvuma utakimbizwa katika Halmashauri zote nane za Mkoa na kuttembelea miradi 72 yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 46.
Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wwa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed akizungumza baada ya kupokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Salawa,kulia ni Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Gofrey Mnzava
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.