Mwenge wa Uhuru umeendelea na mbio zake katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga mkoani Ruvuma kwa kukagua mradi wa jengo la wagonjwa wa nje OPD katika zahanati ya Mtakatifu Gabriel inayomilikiwa na kanisa katoliki Jimbo katoliki la Mbinga.
Mradi mzima uliogharimu zaidi ya shilingi milioni 100 umekamilika na unatoa huduma kwa wagonjwa wa nje OPD.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.