Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma Komred Oddo Mwisho ameipongeza serikali kwa kupeleka vifaa tiba vya kisasa vyenye thamani ya shilingi bilioni 2.4 katika hospitali ya Wilaya ya Nyasa ili kutatua changamoto, na kuboresha sekta ya afya.
Pongezi hizi amezitoa alipotembelea kwa ajili ya kukagua na kukabidhi vifaa tiba hivyo ambavyo vimepatikana kwa ushirikiano wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa na Shirika lisilokuwa la Kiserikali la Human Bridge la nchini Sweden
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.