Pichani kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Dkt Charles Msonde akizungumza na wadau wa elimu wakiwemo wakurugenzi na maafisa elimu kutoka Wilaya zote tano za Mkoa wa Ruvuma baada kukamilisha ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo katika sekta ya elimu.
Dkt Msonde amefanya majumuisho hayo usiku kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea.Kulia ni Afisa Elimu wa Mkoa wa Ruvuma Mwl.Edith Mpinzile
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.