NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Dkt Charles Msonde akizungumza na wanafunzi wa sekondari ya wasichana ya Dkt Samia Suluhu Hassan iliyopo wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma.
Serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni nne kutekeleza mradi wa ujenzi wa sekondari hii ambayo ina uwezo wa kuchukua wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi cha sita.
Naibu Katibu TAMISEMI yupo mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.