Picha ya pamoja Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,Bunge na Uratibu Mheshimiwa Ummy Nderiananga ,Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas na Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Ruvuma.
Naibu Waziri Nderiananga yupo mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi ya siku mbili ambapo leo kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea,amefungua kikao kazi cha kuimarisha Kamati za Usimamizi wa maafa za Mkoa katika kuzuia na kupunguza madhara ya majanga Mkoa wa Ruvuma.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.