Naibu Waziri wa Afya Dr.Godwin Mollel amemwakilisha Waziri wa Afya na Mbunge wa Peramiho Mheshimiwa Jenista Mhagama katika sherehe za kumsimika na kumbariki Abate mpya wa Abasia ya Peramiho Mhashamu Emanuel Mlwilo ndani ya kanisa la Abasia ya Peramiho Jimbo Kuu Katoliki la Songea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.