NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii Mheshimiwa Mary Masanja amefanya ziara ya siku moja ya kikazi mkoani Ruvuma kwa lengo la kuhitimisha kumbukizi ya mashujaa 67 wa vita ya Majimaji waliouwa kwa kunyongwa na wajerumani Februari 27,1906 na kuzikwa ndani ya makumbusho ya Taifa ya Majimaji
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.