Wakulima wa Chama cha Ushirika cha Msingi (AMCOS)cha Namtumbo mkoani Ruvuma kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani wameuza kilo 729,192 za mbaazi kwa bei ya wastani ya shilingi 1,885 kwa kilo na kuingiza zaidi ya shilingi bilioni 1.4.
Huu ni mnada wa tatu wa mbaazi kufanyika mkoani Ruvuma ambapo mnada wa kwanza na wa pili ulifanyika katika Chama Kikuu cha Ushirika Tunduru (TAMCU)
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.