Pichani ni wakufunzi na wanachuo wapatao 29 kutoka Chuo cha Taifa cha Ulinzi,National Defense College (NDC ) wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed ofisini kwake mjini Songea
NDC wapo mkoani Ruvuma katika ziara ya mafunzo ambapo hadi Sasa wametembelea shamba la miti Wino Madaba,Makumbusho ya Taifa ya Majimaji na NFRA .
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.