MENEJA wa Benki ya NMB Kanda ya Kusini Janeth Shango akiwa ameongozana na Meneja wa NMB Tawi la Songea Daniel Zake wamefika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Balozi Wilbert Ibuge kwenda kujitambulisha na kumkaribisha rasmi katika kazi ya kuwatumikia watanzania.
Akizungumza ofisini hapo Meneja wa Kanda ya Kusini Janeth Shango amemkaribisha rasmi RC Ibuge ambapo amesema NMB ipo tayari kushirikiana naye katika nyanja mbalimbali zikiwemo za elimu na afya ili kutoa mchango wake kwa wananchi ambao wanahudumiwa na Benki hiyo ambayo inaongoza kuwa na matawi mengi nchini .
TAZAMA VIDEO HAPA https://www.youtube.com/watch?v=Uxla_apLOGI
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.