• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

POLISI Ruvuma wakabidhi mafuta lita 630 yaliyoibiwa kwenye mradi wa barabara Mbinga

Imewekwa kuanzia tarehe: March 22nd, 2023

JESHI la Polisi mkoani Ruvuma ,limekabidhi jumla ya lita 630 ya mafuta ya Dizel kwa uongozi wa kampuni ya China Railway Group inayojenga mradi wa barabara ya lami ya Amanimakolo -Ruanda yenye urefu wa kilomita 35.

Mafuta hayo yalikamatwa na askari wa jeshi hilo, yakiwa yanasafirishwa kutoka katika mradi huo na baadhi ya watu kwa nia ya kwenda kuyauza.

Akikabidhi mafuta hayo kwa uongozi wa Kampuni hiyo Kamanda  wa Polisi mkoani Ruvuma Marco Chilya alisema kuwa,mafuta hayo yalikamatwa siku kadhaa zilizopita ambapo mtuhumiwa wa wizi huo ambaye hakumtaja jina amefikishwa mahakamani na kesi hiyo imemalizika na mtuhumiwa kupata hukumu ya kifungo.

Kwa mujibu wa Kamanda Chilya ni kwamba,baada ya kutolewa kwa hukumu huyo mafuta hayo yameamriwa yarudishwe kwa kampuni inayotekeleza mradi huo wa barabara ili waweze kuyatumia katika shughuli zao.

Kamanda Chilya,ametoa onyo kali kwa wale wote wanaojihusisha na  vitendo vya wizi,uharifu na kuhujumu mradi huo na miradi mingine inayoendelea kutekelezwa mkoani Ruvuma kuacha mara moja tabia hiyo kwa kuwa Jeshi la Polisi litahakikisha linawasaka na kuwachukulia hatua kali ikiwemo kuwafikisha mahakamani.

Aidha,amewahakikishia raia wa kigeni wanaotekeleza mradi huo kwamba,jeshi hilo linaendelea  kufanya misako,doria na operesheni mbalimbali ili kuhakikisha maeneo yote ya mkoa huo yanakuwa salama  pamoja na  eneo hilo la ujenzi wa Barabara.

Meneja mradi wa kampuni hiyo Ge Guanghua,amelipongeza Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma kutokana na jitihada zilizofanikisha kukamatwa  na kupatikana kwa shehena hiyo ya mafuta  ambayo yaliletwa kwa ajili ya kutekeleza mradi huo muhimu kwa uchumi wa mkoa wa Ruvuma.

Guanghua,amehaidi kutoa ushirikiano wa hali na mali kwa Jeshi la Polisi,na kutoa taarifa za uharifu na waharifu watakaobainika ili mradi huo uweze kumalizika kwa muda uliopangwa.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.