Pichani katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi,Vijana,Ajira na Wenye ulemavu Profesa Joyce Ndalichako akikagua majengo kwenye mradi wa ujenzi wa chuo cha Wenye Ulemavu kinachojengwa katika kijiji cha Liganga Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma ambapo serikali hadi sasa imetoa bilioni moja kutekeleza mradi huo.Pichani wa kwanza kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.