Pichani ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi,Vijana,Ajira na Wenye ulemavu Profesa Joyce Ndalichako akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa mfumo wa kusikiliza kero za Wastaafu ambao utatumika ndani ya wiki mbili kwa nchi nzima, uzinduzi huo umeudhuriwa na Wastaafu na watumishi mbalimbali katika viunga vya ofisi ya hazina ndogo Manispaa ya Songea Mkoa Ruvuma.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.