Muonekano wa shule mpya ya sekondari Kata ya Riwundi Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma iliyojengwa chini ya uongozi wa serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imekamilika na inachukua wanafunzi wanaosoma katika mazingira ya kuvutia.
Picha ya chini ya shule mpya ya msingi ya Nyasa iliyopo Kata ya Kilosa mjini Mbambabay wilayani Nyasa mkoani Ruvuma,ni miongoni mwa shule za msingi zenye mazingira ya kuvutia wanafunzi na walimu ambayo imekamilika kwa asillimia 100 na inachukua wanafunzi
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.