Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi bilioni 60 kujenga barabara ya lami kilometa 35 katika barabara ya Kitai-Lituhi mkoani Ruvuma.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amekagua ujenzi wa barabara hiyo ya kilometa 35 kutoka Amanimakoro hadi Ruanda Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga .
Mkataba wa ujenzi wa barabara hiyo ni wa miezi 18 ,unatekelezwa na Kampuni kutoka nchini China
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.