• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

RAIS SAMIA alivyotoa bilioni 20 kuwatua ndoo kichwani wananchi wa Nyasa

Imewekwa kuanzia tarehe: July 26th, 2023

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan ametoa zaidi ya shilingi bilioni 20 kutekeleza miradi ya maji katika Halmashauri ya wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma.

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi wakati wa uwekaji jiwe la msingi mradi wa maji katika Kijiji cha Hongi Kata ya Liuli wilayani Nyasa ambao umegharimu shilingi bilioni 4.7.

Ameitaja baadhi ya miradi inayoendelea kutekelezwa katika wilaya hiyo kuwa ni mradi wa maji Mwerampya kata ya Lituhi unaogharimu shilingi bilioni 6.5,mradi wa maji Kilosa Mbambabay unaogharimu zaidi ya shilingi bilioni 4 na mradi wa maji Ngumbo unaogharimu shilingi bilioni 2.5.

“Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ni mwanamama aliyedhamiria kumtua mama ndoo kichwani kwa vitendo,Wizara ya Maji imejipanga usiku na mchana kuhakikisha maji safi na salama yanafika kwa wananchi wote wa Tanzania’’,alisisitiza Waziri Mahundi.

Ametoa rai kwa wananchi wa wilaya ya Nyasa  wanaofanya shughuli za kibinadamu kwenye vyanzo vya maji ikiwemo mito kuacha mara moja tabia hiyo kwa kuwa inasababisha madhara makubwa kimazingira ikiwemo mafuriko hivyo kuathiri makazi ya watu.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema  asilimia 70 ya watu wanaoishi vijijini mkoani Ruvuma ambao ni 1,294,156 kulingana na sensa ya watu yam waka 2022  wanapata huduma yam aji safi na  salama ambapo lengo la Mkoa kufikia asilimia 85 kupata maji safi na salama kwa wakazi wa vijijini ifikapo mwaka 2025.

Amesema vijiji 373 kati ya vijiji 533  vinavyohudumiwa na Wakala wa Maji vijijini RUWASA mkoani Ruvuma vinapata maji safi na salama na  kwamba hadi kufikia Juni 30,2023 Mkoa wa Ruvuma ulikuwa unatekeleza jumla ya miradi 33 yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni zaidi ya bilioni 55.

Kwa upande wake Mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya ameishukuru serikali kwa kuendelea kupeleka fedha nyingi za miradi ya maendeleo katika jimbo la Nyasa ikiwemo miradi ya maji iliyojengwa kwa viwango vya juu.

Hata hivyo amesema mradi huo wa maji wa Liuli unakwenda kumaliza kero yam aji ya muda mrefu ambayo walikuwa wanaipata wananchi wa Kata hiyo na vijiji jirani.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MBINGA-MBAMBABAY : barabara inayojenga utalii kwenye milima ya Kusini

    June 01, 2025
  • PICHA ya Rais Samia yapamba mti wa kihistoria Namtumbo

    June 01, 2025
  • TAIFA lamlilia Songambele Shujaa wa Uhuru aliyeishi karne moja

    June 01, 2025
  • SHAMBA la AVIV Tanzania ni mfano wa kuigwa nchini

    June 01, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.