Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amewaapisha wakuu wa Wakuu wa Mikoa na wakuu wa Taasisi ili kuanzia kazi rasmi ya kuwatumikia watanzania.walioapishwa Ikulu jijini Dar es salaam ni :-1. Mhe. Amos Gabriel Makalla, kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam2.Mhe. Omary Tebweta Mgumba,kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe3.Mhe.Stephen Nzohabonayo Kagaigai,kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro 4.Mhe. Brig. Jen Wilbert Augustine Ibuge, kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma5.Mhe.Charles Makongoro Nyerere,kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara 6.Mhe.Brig. Jen Charles Mang’era Mbuge,kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera7.Mhe. David Zacharia Kafulila, Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha8.Mhe. Rosemary Staki Senyamule,kuwa Mkuu wa Mkoa wa Geita9.Mhe.Mwanamvua Hoza Mrindoko,Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi 10.Mhe.Queen Cuthbert Sendiga, kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa
Rais Samia pia amewaapisha B) Katibu Mkuu na Watendaji Wakuu wa Taasisi1.Ndg. Nenelwa Joyce Mwihambi, kuwa Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania2.Ndg.Joseph Edward Sokoine, kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki3.Ndg.Salum Rashid Hamduni, kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa4.Ndg. Sylvester Anthony Mwakitalu, kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka 5.Ndg.Joseph Sebastian Pande, kuwa Naibu Mkurugenzi Mashitaka6.Ndg.Neema Mpembe Mwakalyelye, kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa [19-May-2021]#KaziIendelee
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.