RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimia Samia Suluhu Hassan amewaomba viongozi wa dini na wananchi wote kurejea kwa Mwenyezi Mungu kumuomba anusuru Taifa dhidi ya COVID 19 kwa kuwa wimbi la tatu la ugonjwa huo lipo nchini.Tazama habari kwa kina hapa https://www.habarileo.co.tz/habari/2021-06-2560d60158a02bb.aspx
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.