Serikali ya Awamu ya Sita imetoa shilingi bilioni 70 kwa ajili ya kuanza kutekeleza mradi wa ujenzi wa Bandari ya Mbambabay ziwa Nyasa mkoani Ruvuma katika mwaka wa fedha 2023/2024.
Hayo yamesemwa na Meneja Miliki wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania Alexander Ndibalema wakati anautambulisha mradi wa ujenzi wa Bandari hiyo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika eneo Zambia mjini Mbambabay Wilaya ya Nyasa .
serikali imekamilisha ujenzi wa Bandari ya Ndumbi katika ziwa Nyasa wilaya ya Nyasa iliyogharimu shilingi bilioni 12.28
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.