Sekondari ya Dkt Samia Suluhu Hassan ya Namtumbo mkoani Ruvuma ni miongoni mwa shule 26 za Wasichana za Sayansi za Mikoa zilizojengwa kwenye Mikoa yote Tanzania bara na imejengwa kwa gharama ya shilingi Bil. 4.6 ikiwa vyumba vya madarasa 22, mabweni 8, nyumba za walimu 3 (2 in 1), Nyumba ya Mkuu wa shule, Nyumba ya Matron, chumba cha TEHAMA, Maktaba, Jengo la Utawala pamoja na uzio upande wa Mabweni.Shule hii ina uwezo wa kuchukua wanafunzi 1,200 na mpaka sasa wanafunzi waliopo ni 548.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan amezindua sekondari hiyo yenye mazingira rafiki ya kujifunzia na kufundishia
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.