Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Songea, tayari kuanza ziara ya kihistoria Wilayani Namtumbo, mkoani Ruvuma
Lengo kuu la ziara hiyo ni kuzindua Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Madini ya Urani, kinachotekelezwa na kampuni ya Mantra Tanzania Limited — mradi wenye mchango mkubwa kwa maendeleo ya sekta ya nishati na uchumi wa taifa letu.
Tarehe: 30 Julai, 2025
Mahali: Namtumbo, Mkoa wa Ruvuma
✅ #RuvumaYetu
✅ #MadiniKwaMaendeleo
✅ #KaziInaendelea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.