Mlipuko wa virusi vya corona unaosababisha ugonjwa wa Covid-19, ulitokea katika mkoa wa Hubei nchini China mwishoni mwa mwaka 2019.Tayari virusi hivyo vimesambaa katika mabara yote duniani isipokuwa Antarctica.
Kufikia sasa kinachojulikana ni kuwa Covid-19, ni ugonjwa ambao unaothiri mfumo wa kupumua wa binadamu.Dalili zake ni pamoja na homa kali, kukohoa ambako baada ya wiki moja muathiriwa anakabiliwa na tatizo la kupumua.
Unaweza kufuatilia kwenye ramani ifuatayo kufahamu zaidi kuhusu hali ya maambukizi na na vifo vilivyotokana na ugonjwa huo duniani
SOMA habari kwa kina hapa ://www.bbc.com/swahili/habari-51877115
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.