Kushoto anayezungumza ni Katibu Tawala mpya wa Mkoa wa Ruvuma Mary Makondo akizungumza ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed baada ya kukabidhiwa ofisi na Katibu Tawala aliyestaafu Rehema Madenge pichani kulia.
Picha ya chini ni baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Ruvuma wakitambulishwa kwa Katibu Tawala mpya wa Mkoa wa Ruvuma kwenye kikao kifupi kilichofanyika ofisini kwa Mkuu wa Mkoa mjini Songea.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.