Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Rehema Madenge akizungumza katika kikao maalum cha Baraza la madiwani cha kujadili taarifa ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) juu ya hoja na mapendekezo CAG kwa hesabu za Mamlaka ya Serikali za Mitaa kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023 kwa Halmashauri ya Mbinga Mji.
Katibu Tawala wa Mkoa amemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed kwenye kikao hicho maalum
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.