Pichani: kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma, Bi. Mary Makondo, akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NHIF, Bw. Eliud Sanga, pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Dkt. Irene C. Isaka, walipomtembelea ofisini kwake mjini Songea.
Pamoja na mambo mengine, Makondo amesema kuwa, mara baada ya kutolewa kwa miongozo rasmi ya utekelezaji wa mpango wa Bima ya Afya kwa Wote, ana imani kuwa Mkoa wa Ruvuma utatekeleza mpango huo kwa ufanisi kutokana na maandalizi thabiti yaliyopo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.