Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas, Pichani katikati Februari 8, 2023 ameongoza kikao cha tathimini ya utekelezaji huduma za Lishe,Maji Safi na Usafi wa Mazingira ngazi ya Mkoa. kilichofanyika katika ukumbi wa Manispaa ya Songea na kuhudhuriwa na Wakuu wa Wilaya, zote tano mkoani Ruvuma,Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma Komred Oddo Mwisho pamoja na watumishi kutoka Halmashauri zote mkoani Ruvuma
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.