Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed amewataka watendaji katika Halmashauri zote kuongeza kasi ya ukusanyaji mapato na kubuni vyanzo vipya vya mapato ili kukuza uchumi na kuongeza pato la Taifa.
Kanali Abbas ametoa agizo hilo wakati anazungumza kwa nyakati tofauti na madiwani na watendaji wa Halmashauri za Nyasa,Songea,Namtumbo,Mbinga Mji na Halmashauri ya wilaya ya Mbinga katika ziara ya kikazi ya kutembelea Halmashauri hizo ambapo pia amesisitiza kuimarisha uhusiano na nchi jirani za Malawi na Msumbiji
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.