Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amekabidhiwa Tuzo mbili zilizotolewa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa Kampuni ya DAE LTD kutoka Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma .Kampuni hiyo imekuwa kinara wa kupata Tuzo zinazotolewa na Rais katika sekta za viwanda kwa miaka miwili mfululizo mwaka 2021 na 2022..
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.