Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akipata maelekezo kuhusu kiwanda cha kukoboa kahawa cha DAE LTD mjini Mbinga.
Kiwanda hicho kilichoanzishwa mwaka 1988 kimeajiri wafanyakazi wa kudumu na wa muda 150.
Kiwanda cha DAE LTD kimeshinda mara mbili mfululizo Tuzo ya Rais ya sekta ya viwanda ambayo hutolewa kila mwaka.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.