Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed ameongoza kikao cha maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa ambao unatarajia kufanyika Novemba 27 mwaka huu na maandalizi ya Tamasha la tatu la utamaduni la kitaifa ambalo linatarajia kufanyika kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea kuanzia Septemba 20 hadi 23,2024
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.